1.Sloths ni mnyama amabye anasadikika kuwa mvivu
kuliko wote duniani.Mnyama huyu hulala kwa muda wa masaa 18 kwa siku kwa kuning’inia
kwenye matawi ya miti.Wakati akiwa anatembea ardhini atamia muda wa dakika moja
kutembea umbali wa kati ya Sentimeta 15-30(futi 0.5-1) ambao ni sawa na urefu wa rula moja
Sloths akiwa juu ya mti
2.Mbwa mwenye jina la Sam wa nchini China ndie ambaye ameshikilia rekodi kuwa
mbwa mwenye Sura mbaya zaidi kuwahi kutokea ulimwenguni.Mbwa huyu alikufa mwaka
2005.Mbwa huyu alishikilia rekodi hii kuanzia mwaka 2003 mpaka alipokufa mwaka 2005.
Huyu ndie Mbwa aitwaye Sam
3. Jina la Jacob kwa upande wa watoto wa
kiume nchini Marekani ndilo limekuwa jina Maaarufu na kutumika zaidi kuliko
jina linguine.
Jina Maarufu zaidi la Watoto wa kiume nchini Marekani
Jina Emily ndilo amnbalo
ndilo linashikilia rekodi hii kwa upande wa jina la kike.Takwimu hizi zimepatika katika kumbukumbu mbali za Marekani.
Jina la Watoto wa Kike Maarufu zaidi nchini Marekani
4. Jon Brower Minnoch wa nchini Marekani
ndie anashikilia rekodi kwenye vitabu mbali mbali vya hapa duniani kuwa ndiye
mtu mnene kuwahi kutokea hapa Ulimwenguni.Jon Brower Minnoch alikuwa na
takribani Kilogramu 635.Ambazo bado hazajafikiwa.
Huyu ndie Jon Brower Minnoch
5.Daniel Browning Smith a.k.a Rubber Boy wa Marekani ndie mtu
anayeshikilia rekodi ya kuwa mtu mwepesi zaidi(Flexible) kuwahi kutoke kwenye
ulimwengu huu.Ana uwezo wa kujikunja kwa nusu duara na kutengeneza Nyuzi za
Sentigredi 180.Pia ana uwezo mkubwa wa kutengeneza umbo lolote kutoka na viungo
vyake kuwa laini sana.
Huyu ndiye Daniel Browning Smith a.k.a Rubber Boy
|
Baada ya kupitia Finacial Report za Benki mbali mbali Ulimwenguni zilizotolewa mpaka tarehe 31/03/2012 na Mashirika mbali mbali ya fedha Ulimwenguni.Blog hii imegundua Benki ambazo zimekuwa na Mali nyingi za thamani kubwa zaidi kuliko nyingine hapa Ulimwenguni.Hizi ndizo Benki 30 zinazoongoza kwa mali(Assets) kuliko nyingine katika sayari hii.Takwimu za umiliki wa fedha na mali mbali mbali zimechukuliwa kupitia sarafu ya nchi ya Marekani(Dollar[$])
Haya ndio Makao Makuu ya Benki ya Deutsche nchini Ujerumani ambayo ndio inaongoza kuwa na Assets nyingi zaidi zenye Thamani Kubwa Ulimwenguni
Takwimu za Benki Husika na Thamani ya Mali inayomiliki
Nafasi
|
Benki
|
Nchi
|
Jumla ya Mali (US$B)
|
1
|
Deutsche Bank
|
Germany
|
2,805.50
|
2
|
Mitsubishi UFJ Financial Group
|
Japan
|
2,641.22
|
3
|
HSBC Holdings
|
UK
|
2,637.22
|
4
|
Industrial & Commercial Bank of China
|
China
|
2,607.75
|
5
|
BNP Paribas
|
France
|
2,545.34
|
6
|
Credit Agricole Group
|
France
|
2,514.81
|
7
|
Barclays PLC
|
UK
|
2,430.74
|
8
|
Japan Post Bank
|
Japan
|
2,363.15
|
9
|
JPMorgan Chase & Co.
|
USA
|
2,320.33
|
10
|
Royal Bank of Scotland Group
|
UK
|
2,246.52
|
11
|
Bank of America
|
USA
|
2,181.45
|
12
|
China Construction Bank
|
China
|
2,107.21
|
13
|
Bank of China
|
China
|
2,046.37
|
14
|
Mizuho Financial Group
|
Japan
|
1,995.57
|
15
|
Agricultural Bank of China
|
China
|
1,993.25
|
16
|
Citigroup Inc
|
USA
|
1,944.52
|
17
|
Sumitomo Mitsui Financial Group
|
Japan
|
1,726.21
|
18
|
Banco Santander
|
Spain
|
1,712.05
|
19
|
ING Group
|
Netherlands
|
1,656.88
|
20
|
Societe Generale
|
France
|
1,592.72
|
21
|
Lloyds Banking Group
|
UK
|
1,548.00
|
22
|
Groupe BPCE
|
France
|
1,540.24
|
23
|
UBS
|
Switzerland
|
1,514.15
|
24
|
Wells Fargo
|
USA
|
1,333.80
|
25
|
UniCredit S.p.A.
|
Italy
|
1,244.75
|
26
|
Credit Suisse Group
|
Switzerland
|
1,108.61
|
27
|
China Development Bank
|
China
|
992.00
|
28
|
Goldman Sachs
|
USA
|
951.00
|
29
|
Rabobank Group
|
Netherlands
|
947.62
|
30
|
Nordea Bank
|
Sweden
|
925.83
|
Baada ya kufwatilia Finacial Report na Assets mbali mbali zinaziomilikiwa na Benki mbali mbali Ulimwengu kwa muda mrefu blog hii imekuja kugundua hata katika Benki 100 Zenye Assets nyingi na mshiko mrefu Bara La Afrika halina hata Benki moja inayoingia wala hata dalili ya kukaribia.
|