Baada ya kupitia Finacial Report za Benki mbali mbali Ulimwenguni zilizotolewa mpaka tarehe 31/03/2012 na Mashirika mbali mbali ya fedha Ulimwenguni.Blog hii imegundua Benki ambazo zimekuwa na Mali  nyingi za thamani kubwa zaidi kuliko nyingine hapa Ulimwenguni.Hizi ndizo Benki 30 zinazoongoza kwa mali(Assets) kuliko nyingine katika sayari hii.Takwimu za umiliki wa fedha na mali mbali mbali zimechukuliwa kupitia sarafu ya nchi ya Marekani(Dollar[$])

Haya ndio Makao Makuu ya Benki ya Deutsche nchini Ujerumani ambayo ndio inaongoza kuwa na Assets nyingi zaidi zenye Thamani Kubwa Ulimwenguni


Takwimu za Benki Husika na Thamani ya Mali inayomiliki

Nafasi
Benki
Nchi
Jumla ya Mali (US$B)
1
Deutsche Bank
Germany
2,805.50
2
Mitsubishi UFJ Financial Group
Japan
2,641.22
3
HSBC Holdings
UK
2,637.22
4
Industrial & Commercial Bank of China
China
2,607.75
5
BNP Paribas
France
2,545.34
6
Credit Agricole Group
France
2,514.81
7
Barclays PLC
UK
2,430.74
8
Japan Post Bank
Japan
2,363.15
9
JPMorgan Chase & Co.
USA
2,320.33
10
Royal Bank of Scotland Group
UK
2,246.52
11
Bank of America
USA
2,181.45
12
China Construction Bank
China
2,107.21
13
Bank of China
China
2,046.37
14
Mizuho Financial Group
Japan
1,995.57
15
Agricultural Bank of China
China
1,993.25
16
Citigroup Inc
USA
1,944.52
17
Sumitomo Mitsui Financial Group
Japan
1,726.21
18
Banco Santander
Spain
1,712.05
19
ING Group
Netherlands
1,656.88
20
Societe Generale
France
1,592.72
21
Lloyds Banking Group
UK
1,548.00
22
Groupe BPCE
France
1,540.24
23
UBS
Switzerland
1,514.15
24
Wells Fargo
USA
1,333.80
25
UniCredit S.p.A.
Italy
1,244.75
26
Credit Suisse Group
Switzerland
1,108.61
27
China Development Bank
China
992.00
28
Goldman Sachs
USA
951.00
29
Rabobank Group
Netherlands
947.62
30
Nordea Bank
Sweden
925.83

Baada ya kufwatilia Finacial Report na Assets mbali mbali zinaziomilikiwa na Benki mbali mbali Ulimwengu kwa muda mrefu blog hii imekuja kugundua hata katika Benki 100 Zenye Assets nyingi na mshiko mrefu Bara La Afrika halina hata Benki moja inayoingia wala hata dalili ya kukaribia. 
|