Kati ya mwaka 2011 kumekuwa ongezeko la Matumizi ya bajeti za majeshi duniani kwa asilimia 0.3.Ukilinganisha na ongezeko ambalo limekuwepo la 4.5 kati ya mwaka 2001-2009.Huku nchi zenye matumizi makubwa zaidi ya fedha katika dunia kama Brazili,Ufaransa,Ujerumani,India,U.K., Marekani zikipunguza matumizi ya bajeti katika majeshi yao katika mwaka 2011 lakini nchi kama China na Urusi zimeongeza matumizi zaidi katika bajeti za majeshi yao hii ni kwa mujibu wa shirika linalohusika na ukusanyaji wa takwimu mbali mbali za majeshi duniani(SIPRI)
Kwa ujumla Bajeti ya dunia katika maswala ya majeshi yamefikia kiasi $1.74 trillion katika mwaka 2011.
Baada ya kufwatilia takwimu mbali mbali za maswala ya majeshi blog hii iliamua kufwatilia nchi na viwanda mbali mbali duniani vinavyozalisha silaha na vifaa mbali mbali za kijeshi duniani kwa sasa.Kwa mujibu wa Mitandao mbli mbali zimetoa viwanda 100 lakini blog hii imechukua viwanda 30 tu na nchi zake.Blog hii haikutaka kutoa aina za silaha na vifaa vya ulinzi ambavyo vinatengenezwa na viwanda hivyo na kiasi cha pesa kwa mwaka zinavyotumia kutengeneza silaha hizo.
Zifwatazo ni nafasi ya kiwanda inayoshika kwa kuzalisha silaha na vifaa mbali mbali vya ulinzi na usalama duniani na nchi ambayo kiwanda hicho kipo.


Nafasi
Kampuni
Nchi
1
Lockheed Martin
Marekani
2
BAE Systems

Uingereza

3
Boeing
Marekani
4
Northrop Grumman
Marekani
5
General Dynamics
Marekani
6
Raytheon
Marekani
7
EADS

Umoja wa Ulaya
8
Finmeccanica

Italia
9
L-3 Communications
Marekani
10
United Technologies
Marekani
11
Thales
Ufaransa
12
SAIC
Marekani
13
Oshkosh Truck
Marekani
14
Computer Sciences Corp.
Marekani
15
Honeywell
Marekani
16
Safran
Ufaransa
17
Rolls-Royce
Marekani
18
General Electric
Uingereza
19
ITT Corp.
Marekani
20
Almaz-Antei
Urusi
21
United Aircraft Corp.
Urusi
22
DCNS
Ufaransa
23
KBR
Marekani
24
URS Corp.
Marekani
25
Mitsubishi Heavy Industries
Japan
26
Alliant Techsystems
Marekani
27
Rockwell Collins
Marekani
28
Saab
Sweden
29
Babcock International Group
Uingereza
30
Textron
Marekani


NOTE:Kwa sababu za kiusalama na masharti ya watoa takwimu mbali mbali duniani haipaswi kuonyesha kila kitu,Hizi ni baadhi ya takwimu tu.Zinaweza kuwa sahihi au Hapana.Zisichukuliwe kama kigezo au reference.
| |