Siku ya Leo majira ya Saa mbili na nusu asubuhi mpaka saa sita nusu katika kanisa la Victory Christian Center moto uliwaka pale ambapo Presenter mwenye vipaji lukuki Papaa Ze Blogger a.k. Samuel Sasali alipokuwa anafanya Presentation ya THINK DIFFERENTLY and MAKE A DIFFERENCE
Hizi ndio point tano zakukufanya UTHINK DIFFERENTLY na UMAKE A DIFFERENCE ambazo Papaa Ze Blogger aligusia
1. Learn to take Responsibility of your own life.
2. Learn from Experienced People.
3. Learn to Take Risky in Your Life.
4. Have time for your own to plan.
5. Find The Information(s).
Haya ndio Matukio Katika Picha
Martin Malecela akifanya maandalizi kwa ajili ya kurusha Presentation kwenye UStream
Wadau wakiingia kwenye eneo la Tukio tayari kwa ajili ya Presentation
Wadau wakienda sawa kwenye Praise and Worship
William Kaijage and Upcoming Billionaire Prosper Mwakitalima wakijadili vitu vichache
Wadau wakijiweka Sawa tayari kwa ajili ya Presentation
Presenter Papaa Ze Blogger akianza kufanya vitu vyake
Huu ndio munekano wa mtuu mwenye vipaji lukuki Papaa Ze Blogger
Twende Sawa wadau wakiwa makini
Haikuwa kama unavyofikiria it was more than powerful aisee
Watu people ....hii ndio ilikuw idadi yw mwanzo watukio.. viti vilijaa
Mzee wa Ustream Martin Malecela akifanya vitu vyake World Wide
Wadau wakiendelea kufuatilia tukio
Muziki ni jadi yetu sio kama tunabatisha
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Rose Mushi hakukosa..angalia anavyofwatila kwa makini tukio linaoendelea
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Muda ulivyokuwa unazidi kwenda Koti lilionekana zito
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Papa Ze BLogger akifanya vitu vyake
Rose Mushi akimwaga cheche kwa muda mfupi
Prezzor Chavala hakuwa nyuma
The upcoming Billionaire Prosper Mwakitalima akiongea ....
Wadau wakienda Sawa...Twende kazi
Soul Breakfast ni program ambayo inafanyika mara moja kwa mwezi katika kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi katika kanisa la Victory Christian Center at Makumbusho....ni program yenye kutaka kawafikia wanafunzi na watu mbali mbali ikiwa ni kuchange mindset zao kuleta mabadiliko katika jamii ya taifa hili na dunia kwa ujumla
DO NOT DARE TO MISS IT NEXT TIME.....BE BLESSED