Hii Ndio Tanzania Yetu,Unafikiri Kwa Namna Hii Tutaendelea?Je unafikiria wapi ni rahisi Kutoa mchango wa harusi na kutoa mchango wa Ujenzi wa Shule?Jamii yenye kuhitaji maendeleo yenye kueleweka na yenye kumaanisha ni lazima iwekeze kwenye elimu na ujuzi kwa jamii ya watu wake.Serikali yenye kujali watu wake lazima ifanye kila liwezekanalo kuwekeza kwenye jamii katika ujuzi hali kadhalika jamii inawajibu wake wenyewe wa kuwekeze ipasavyo kwenye elimu na ujuzi kwa manufaa ya vizazi vyao na taifa kwa ujumla.
SAFARI HII SI YA KUKOSA ZANZIBAR
9 years ago