1.Sloths ni mnyama amabye anasadikika kuwa mvivu
kuliko wote duniani.Mnyama huyu hulala kwa muda wa masaa 18 kwa siku kwa kuning’inia
kwenye matawi ya miti.Wakati akiwa anatembea ardhini atamia muda wa dakika moja
kutembea umbali wa kati ya Sentimeta 15-30(futi 0.5-1) ambao ni sawa na urefu wa rula moja
Sloths akiwa juu ya mti
2.Mbwa mwenye jina la Sam wa nchini China ndie ambaye ameshikilia rekodi kuwa
mbwa mwenye Sura mbaya zaidi kuwahi kutokea ulimwenguni.Mbwa huyu alikufa mwaka
2005.Mbwa huyu alishikilia rekodi hii kuanzia mwaka 2003 mpaka alipokufa mwaka 2005.
Huyu ndie Mbwa aitwaye Sam
3. Jina la Jacob kwa upande wa watoto wa
kiume nchini Marekani ndilo limekuwa jina Maaarufu na kutumika zaidi kuliko
jina linguine.
Jina Maarufu zaidi la Watoto wa kiume nchini Marekani
Jina Emily ndilo amnbalo
ndilo linashikilia rekodi hii kwa upande wa jina la kike.Takwimu hizi zimepatika katika kumbukumbu mbali za Marekani.
Jina la Watoto wa Kike Maarufu zaidi nchini Marekani
4. Jon Brower Minnoch wa nchini Marekani
ndie anashikilia rekodi kwenye vitabu mbali mbali vya hapa duniani kuwa ndiye
mtu mnene kuwahi kutokea hapa Ulimwenguni.Jon Brower Minnoch alikuwa na
takribani Kilogramu 635.Ambazo bado hazajafikiwa.
Huyu ndie Jon Brower Minnoch
5.Daniel Browning Smith a.k.a Rubber Boy wa Marekani ndie mtu
anayeshikilia rekodi ya kuwa mtu mwepesi zaidi(Flexible) kuwahi kutoke kwenye
ulimwengu huu.Ana uwezo wa kujikunja kwa nusu duara na kutengeneza Nyuzi za
Sentigredi 180.Pia ana uwezo mkubwa wa kutengeneza umbo lolote kutoka na viungo
vyake kuwa laini sana.
Huyu ndiye Daniel Browning Smith a.k.a Rubber Boy
|