1.Sloths  ni mnyama amabye anasadikika kuwa mvivu kuliko wote duniani.Mnyama huyu hulala kwa muda wa masaa 18 kwa siku kwa kuning’inia kwenye matawi ya miti.Wakati akiwa anatembea ardhini atamia muda wa dakika moja kutembea umbali wa  kati ya Sentimeta 15-30(futi 0.5-1) ambao ni sawa na urefu wa rula moja

 Sloths akiwa juu ya mti

2.Mbwa mwenye jina la Sam  wa nchini China ndie ambaye ameshikilia rekodi kuwa mbwa mwenye Sura mbaya zaidi kuwahi kutokea ulimwenguni.Mbwa huyu alikufa mwaka 2005.Mbwa huyu alishikilia rekodi hii kuanzia mwaka 2003 mpaka alipokufa mwaka 2005.

Huyu ndie Mbwa aitwaye Sam

 3. Jina la Jacob kwa upande wa watoto wa kiume nchini Marekani ndilo limekuwa jina Maaarufu na kutumika zaidi kuliko jina linguine.

Jina Maarufu zaidi la Watoto wa kiume nchini Marekani

Jina Emily ndilo amnbalo ndilo linashikilia rekodi hii kwa upande wa jina la kike.Takwimu hizi zimepatika katika kumbukumbu mbali za Marekani.

Jina la Watoto wa Kike Maarufu zaidi nchini  Marekani

4. Jon Brower Minnoch wa nchini Marekani ndie anashikilia rekodi kwenye vitabu mbali mbali vya hapa duniani kuwa ndiye mtu mnene kuwahi kutokea hapa Ulimwenguni.Jon Brower Minnoch alikuwa na takribani Kilogramu 635.Ambazo bado hazajafikiwa.

Huyu ndie Jon Brower Minnoch 

 5.Daniel Browning Smith  a.k.a Rubber Boy wa Marekani ndie mtu anayeshikilia rekodi ya kuwa mtu mwepesi zaidi(Flexible) kuwahi kutoke kwenye ulimwengu huu.Ana uwezo wa kujikunja kwa nusu duara na kutengeneza Nyuzi za Sentigredi 180.Pia ana uwezo mkubwa wa kutengeneza umbo lolote kutoka na viungo vyake kuwa laini sana.

Huyu ndiye Daniel Browning Smith  a.k.a Rubber Boy
|