Kuanzia mwaka 2005-2010 tumeshuhudia viongozi mbali mbali duniani wakilipwa kiasi kikubwa cha mishahara pamoja na  baadhi ya viongozi ambao wamekuwa wakitoka kwenye nchi maskini na wengine wakitoka dunia ya pili.Lakini viongozi hao wemeingia katika rekodi ya viongozi ambao wamekuwa wakilipwa mishara mikubwa.Takwimu hizi zinatolewa kati kwa miaka mitatu mpaka mitano.Takwimu hizi ni kati ya mwaka 2005-2010


Nchi
Jina la Kiongozi
Mshahara kwa Mwaka

1.
Singapore
  Lee Hsien Loong
$2,183,520

2.
Hong Kong
Donald Tsang
$513,245

3.
Kenya
Raila Odinga
$427,886

4.
U.S.A
Barack Obama
$400,000

5.
France
Nicolas Sarkozy
$302,435
6.
Canada
Stephen Harper
$296,400
7.
Ireland
Mary McAleese
$287,900

8.
Australia
Julia Gillard
$286,752

9.
Germany
Angela Merkel
$283,608

10.
Japan
Yoshihiko Noda
$273,676

Je unafikiri  ni viongozi gani wanaweza kuingia kwenye rekodi hiii.
Baadhi ya Viongozi waliokuwepo wengine weshaachia ngazi katika utalawa.Je ni nani anayeweza kushikilia  kuingia katika nafasi zao  au nani anayeweza kutoka katika takwimu zijazo za  kati ya mwaka 2010-2015.
Kaa tayari blog hii itaendelea kukujulisha na kukueleza nani kaingia nani katoka katika takwitu zijazo.
|