Kama umekosa siku ya leo katika viwanja vya jangwani ndani ya Tamasha la Love Tanzania tambua umepitwa na mengi....watu mashuhuru katika tasnia ya muziki wa injili ndani na nje ya Tanzania wamekuwa wakifanya vitu vya ajabu..Kama umekosa napenda kuchukua fursa hii kukuambia pole lakini bado hujachelewa siku ya kesho ambaapo Tamasha hili litaendelea usikose kuhudhuria....Njo ujione watu wanavyompenda Mungu..
Doen Moen akiwa anafanya Mazoezi siku ya Leo Asubuhi kabla ya kazi jioni ya leo
Hapa akiendelea na kujaribu vyombo na namna atakavyoperfom jioni hii
Tunapoongea sasa hivi hawa jamaa ndio wanamalizia shughuli za hii kazi unayoiona
Sio miujiza ni kweli na ajabu kama umekosa jionee kazi inavyoendelea
Hii ndio stage ya Kazi toka asubuhi ya leo
Huyu ni mmoja ya wadau waliohudhuria kwenye Love Festival toka asubuhi ya leo Miss Gladness Kilemile
Hili ndilo enelo la waandishi wa habari lilotengwa
Toka asbuhi watu mejaa wakiwa tayari kukutana na Mungu aliye hai
Hapa ndipo eneo la wahudumu walipokuwa wanapewa maelekezo
Hawa ndio wahudumu mbali mbali wa Love Festival Tanzania
Hili ndilo eneo maalumu lilotengwa kwa ajili ya mchezo wa Baiskeli na Pikipiki
Wote hawa wakiwa tayari kwa kuangalia michezo ya Baiskeli na Pikipiki
Hawa wote wakicheki jinsi mchezo wa pikipiki unavyoendelea
Watoto nao hawakuachwa nyuma hapa ndipo walikuwa wakifanya michezo mbali mbali
Hiyo yote unaiona hapo juu ni mchezo mbali mbali ya watoto ambayo imekuwepo siku ya leo hapa viwanja vya jangwani
Hawa ndio wahudumu wetu wakiwa wamevalia uniform maalum
Hawa nao walikuwa ndani ya nyumba tayari kushuhudia tukio linaloendelea hapa jangwani
Mpaka na vyoongea sasa hapa jangwani kumejaa mpaka kumetapika
Huyu ndie mtaalamu wa michezo ya watoto hapa Ulimwenguni
Uncle Jimmy akiwa na Upendo Kilahiro tayari kwa kazi hapa viwanja vya jangwani
Papa The Blogger ndani ya nyumba na Swahiba wake Prosper Alfred Mwakitalima
Mtaalamu wa Michezo mbali mbali ya watoto akiwa on the Stage huku mtoto mmoja wapo akijiondokea na Jezi ya Man unted full set plus mpira wa Adidas from Old Trafford
Hawa ndio wanaume wawili walioshusha burudani ya Pikipiki muda sio mrefu
Twende kazi hapa uone Baiskeli inavyorudi kinyume nyume ....yaani rivasi
Huyu ni moja ya Wanaume wachache waliocheze Baiskel kwa nama ambayo sijawahi ona.....ana umri zaidi ya miaka 32 na mbili lakini hatari tupuuu
Stay tuned ....Blog hii itaendelea kukuleta habari mpaka mwisho wa tukio hili.