Baada ya wiki Moja iliyopita kwenye Miji ya Dodoma Na Mbeya kutikiswa na tukio la Campus Night,Jana usiku(23/11/2012) ilikuwa ni zamu ya mji wa Singida kutikiswa na tukio hili Adhimu nchini Tanzania,Rise and Shine ndio ilikuwa theme mjini Singida,Baada ya blog hii kupata habari kutoka kwenye chombo cha kuaminika kwamba zaidi ya watu 700 waliamua kumpa Yesu maisha yao huku takribani watu yapata zaidi ya 5000 wakihudhuria kwenye tukio hili ambalo linatokea mara moja tu kwa mwaka
Hapa tupo Katika ya Safari kuelekea Singida Victor & Chavala |
Ndani Ya Singida |
Costa Mbili Watu Full... |
Watu Wakifanya Furaha za Shangwe kwa Bwana |
Samuel Yonah... the best guitarist, composer, arranger of all times |
Watu pipoz... |
The audience Praising and dancing |
Prosper ,Steve Wambura,and Chavala |
Mungu wa Mapendo... |
Students Joint Mass Choir |
Papaa Ze Blogger(T-shirt Nyeupe) Mc wa Shughuli akienda sawa |
Pastor Dr Huruma Nkone na Daniel a.k.a Kenge wakimsifu Mungu |
The Mass Choir perfoming |
Hata Baada ya Kumaliza Honey Moon siku chache zilizopita lakini Steve Wambura hakuacha kumsifu Bwan |
The Empire wakifanya Vitu vyao |
700 peoples received Jesus |
Steven Wambura a.k.a Le grand Mopao akiendesha jahazi |
Kama kawa Swahiba Mc Pilipili Hakubaki Nyuma..Pasua Mbavu Singida |
Rivers of Joy International wakienda Sawa kwenye Praise and Worship |
Katika Yote Ujumbe Mkuu ulikuwa Hauwezi songa Mbele Bila Yesu...Yesu Ni Jibu La Mambo yote |