V.Jina
Kamili:
Äteritsiputeritsipuolilautatsijänkä (Herufi
35 )
Nchi:Finland
Lugha ya Eneo Husika:
Lahaja
za Kaskazini Mwa Finland
Taarifa Fupi:
Jina Refu
Zaidi la Sehemu nchini Finland
IV.Jina Kamili:
Tweebuffelsmeteenskootmorsdoodgeskietfontein (Herufi
44)
Nchi: Afrika Kusini
Lugha ya Eneo Husika:
Lugha za Asili
Taarifa Fupi:
Jina Refu
Zaidi la Sehemu Nchini Afrika Kusini
III.Jina Kamili
Llanfairpwllgwyngyllgogerychwyrndrobwllllantysiliogogogoch
(Herufi
51 )
Kifupi Cha Jina
Llanfairpg (Herufi 10 )
Nchi:Wiles
Taarifa Fupi:
Jina Refu
Zaidi la Sehemu Barani Ulaya na Nchi Ya Wiles
II.Jina Kamili
Taumatawhakatangjjihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu. (Herufi 85)
Kifupi Cha Jina:
Taumatawhakatangihangakoauauotamateapokaiwhenuakitanatahu.(Herufi
57 )
Nchi:New Zealand
Taarifa Fupi:
Jina Refu
Zaidi la Sehemu nchini New Zealand
I.Jina Kamili
Krungthepmahanakornamornratanakosinmahintarayutthayamahadilokphopnopparatrajathaniburiromudomrajaniwesmahasatharnamornphimarnavatarnsathitsakkattiyavisanukamprasit.(Herufi
163)
Kifupi cha Jina:
Krungthep(Herufi 9)
Krungthep(Herufi 9)
Nchi:Thailand
Lugha ya Eneo:Ki-Thailand
Taarifa Fupi:
Jina Refu
la Sehemu Nchini Thailand na Duniani kwa Sasa