Kwa mujibu wa jarida la Forbes ambalo hutoka mara kwa mara ya kipindi fulani kupita.Baada ya kufuatilia na kusoma kwa umakini mkubwa hawa blog hii imegungua kuwa ndio ndio wanawake 10 wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kwa sasa katika nyanja ya Siasa,Utawala,Ubinadamu(Humanitarian ) na Teknolojia ukilinganisha na wanawake wengine waliopo sasa.

        1
Angela Merkel Chancellor, Germany
Age :58
Category :Politics 


   2
Hillary Clinton
Secretary of State, United States
Age:64
Category :Politics

   
Dilma Rousseff 
President, Brazil
Age:64
Category :Politics

Melinda Gates 
Co-Chair, Bill & Melinda Gates Foundation
Age:48
Category :Humanitarian 

Jill Abramson 
Executive Editor, New York Times Co.
Age:58
Category :Media

Sonia Gandhi 
President,Indian 
National Congress, India
Age:65
Category :Politics

Michelle Obama 
First Lady, United States
Age:48
Category :Politics

Christine Lagarde 
Managing Director, International Monetary Fund
Age:56
Category :Humanitarian

Janet Napolitano 
Secretary,Department of Homeland Security, United States
Age:54
Category :Politics

10 
Sheryl Sandberg 
COO, Facebook
Age:42
Category :Technology 

|
0 Responses