Baada ya kufwatilia kwa ukaribu na umakini blogu hii imegundua kuwa kuna nchi ambazo zimekuwa na asilimia kubwa ya wafungwa kuliko nyingine hapa ulimwenguni.Twakwimu hizi zimepatika katika nchi ambazo zimekuwa na utunzaji mzuri wa takwimu za wafungwa katika kiwango cha hali ya juu.Takwimu hizi zimechukuliwa kwa kila wananchi 100,000 wa nchi husika.
Jina la Nchi Katika kila watu 100,000
1.Russia 730
3.Belarus 575
4.Kazakhstan 495
5.Belize 460
6.Kyrgyzstan 440
7.Suriname 435
8.Ukraine 430
9.Dominica 420
Takwimu hizi zimepatikana kwenye vitabu vya nchi husika na Report mbali mbali za Mashirika mbali mbali yanayopigania haki za wafungwa Ulimwenguni