Dunia ikiwa imekumbwa na tatizo la Rushwa katika kiwango cha juu baada ya blog hii kufwatilia katika shirika la kimataifa la kuhusu upambanaji wa rushwa na uwazi (Transparency International'). Baada ya kupitia orodha hiyo kwa umakini imekuja kuona nafasi za nchi mbali mbali za Afrika na kwa upande wa dunia. Upande wa Kushoto unaonyesha Nafasi ya Nchi kwa Rushwa katika Bara la Afrika  na Upande wa kulia unaonyesha nafasi ya Rushwa ya Nchi katika dunia.Hizi ndizo nchi 40 za Afrika nafasi zo katika rushwa.



Afrika
Nchi
Dunia

1
Somalia
1

2
Sudan
4

3
Chad
6

4
Guinea
8

4
Equatorial Guinea
8

4
Burundi
8

7
Guinea-Bissau
14

7
DR Congo
14

7
Republic of the Congo
14

7
Angola
14

11
Central African Republic
20

12
Ivory Coast
24

13
Zimbabwe
28

13
Sierra Leone
28

13
Kenya
28

13
Cameroon
28

17
Comoros
36

18
Uganda
43

18
Nigeria
43

18
Mozambique
43

18
Mauritania
43

18
Libya
43

23
Tanzania
52

23
Eritrea
52

25
Ethiopia
56

26
Togo
62

26
Sao Tome & Principe
62

26
Mali
62

26
Egypt
62

26
Djibouti
62

26
Algeria
62

32
Niger
71

32
Gambia
71

32
Gabon
71

32
Benin
71

36
Zambia
76

36
Senegal
76

36
Madagascar
76

39
Liberia
83

40
Rwanda
87

40
Morocco
87

40
Malawi
87

40
Lesotho
87
| |
Kuanzia mwaka 2005-2010 tumeshuhudia viongozi mbali mbali duniani wakilipwa kiasi kikubwa cha mishahara pamoja na  baadhi ya viongozi ambao wamekuwa wakitoka kwenye nchi maskini na wengine wakitoka dunia ya pili.Lakini viongozi hao wemeingia katika rekodi ya viongozi ambao wamekuwa wakilipwa mishara mikubwa.Takwimu hizi zinatolewa kati kwa miaka mitatu mpaka mitano.Takwimu hizi ni kati ya mwaka 2005-2010


Nchi
Jina la Kiongozi
Mshahara kwa Mwaka

1.
Singapore
  Lee Hsien Loong
$2,183,520

2.
Hong Kong
Donald Tsang
$513,245

3.
Kenya
Raila Odinga
$427,886

4.
U.S.A
Barack Obama
$400,000

5.
France
Nicolas Sarkozy
$302,435
6.
Canada
Stephen Harper
$296,400
7.
Ireland
Mary McAleese
$287,900

8.
Australia
Julia Gillard
$286,752

9.
Germany
Angela Merkel
$283,608

10.
Japan
Yoshihiko Noda
$273,676

Je unafikiri  ni viongozi gani wanaweza kuingia kwenye rekodi hiii.
Baadhi ya Viongozi waliokuwepo wengine weshaachia ngazi katika utalawa.Je ni nani anayeweza kushikilia  kuingia katika nafasi zao  au nani anayeweza kutoka katika takwimu zijazo za  kati ya mwaka 2010-2015.
Kaa tayari blog hii itaendelea kukujulisha na kukueleza nani kaingia nani katoka katika takwitu zijazo.
| |