Mwanamuziki na Muimbaji nyimbo za injili hapa Tanzania Josiphine Minza Nkila anategemea kuachilia album yake ya pili itakayozinduliwa Tarehe 22 mwezi wa tisa 2013 kwenye ukumbi CCC Upanga kuanzia saa nane mchana na kuendelea.
Akiongea na Vyombo vya habari vya Kikristo na Bloggers wa Kikristo Josephine Minza Nkila aleza kwamba Albamu itakuwa na
Jina la MAISHA YA IBADA( A LIFE OF WORSHIP) imeshirikisha waimbaji mbali mbali kwenye Utengenezaji wake Akiwemo Abednego Hango wa Band ya New Life kutoka Pale Arusha.
Pia alitaja Baadhi ya Waimbaji ambao watamsindikiza kwenye Uzinduzi wa Albamu Hii ambao ni THE VOICE , DELICIA, EDSON MWASABWITE , DANIEL MBEPELA , VIJANA AIC MAGOMENI NA DAR KWAYA KUTOKA AIC MAGOMENI
Josiphine Minza Nkila akisikiza kwa Makini Maswali ya Waandishi wa Habari na Bloggers
|
Josephine Minza Nkila akiwa na Mwalimu Mgisa Mtebe Kama Project Manager wa Albamu hii ya Maisha Ya Ibada |
Usitamani Kukosa Hakuna Kiingilio ,Ni Bure Kabisa