 |
Huyu ndiye DNG |
Baada ya Siku Chache zilizopita Kusadikika kwamba Mwanamuziki wa
Secular Music Jaguar kutoka nchini
Kenya ndiye aliyelipwa fedha nyingi zaidi na Kupitia chama
Cha Mgombe U-Raisi Raila Odinga Katika Kipindi cha Kampeni
lakini Siku Ya Chache zilizopita
Imekuja kugundulika kwamba Mwanamuziki wa Injili nchini Kenya
DNG ndiye aliyelipwa fedha nyingi zaidi kwenye Kipindi cha Kampeni na Mgombea wa kiti cha U-Raisi
nchini Kenya Uhuru Kenyatta.
Inasadikika Mwanamuziki huyu amelipwa Mara 8
zaidi ya Mwanamuziki Jaguar kuendesha Burudani kwenye Kampeni Nchini Kenya
kupitia Chama Cha Uhuru Kenyatta.
|