Wanafunzi wengi wa Jamii ya Kitanzania tumejengewa mfumo ambao haupendi/hatupendi kujifunza na kutafuta mafundisho nje ya masomo yetu haswaa kipindi tukiwa kwenye vyuo na shule lakini sisi wenyewe tumeshindwa kutafuta upenyo wa kujifunza nje ya maisha ya shule kwa sababu moja au nyingine.....Lakini safari hii Kanisa la Victoria Christian Center Tabernacle a.k.a VCCT limeamua kukuletea Seminar yenye Jina SHAPING YOUR DESTINY chini ya Kitengo cha kanisa hilo kinachoitwa CAMPUS MINISTRY.
Usafiri utatolewa Bure kutoka kwenye vyuo vyote hapa Dar es Salaam mpaka eneo la Tukio katika Hema la Kisasa la Kanisa hilo Mbezi Beach.......
Topic zitakazokuwa presented.......!!!
1.How to Live a Balanced
2.Discovering Talents and Opportunities while in a College
3.Maintaining and Building Meaningful Relationship
4.How to Excel In and Out Of The Class
Presenter are :-
|
Pastor Dr Huruma Nkone |
|
Chris Mauki |
|
Samuel Sasali a.k.a Papaa Ze Blogger |
|
John Lisu |
|
DONT DARE TO MISS !!!!!!!!! |
|