Kama umekosa siku ya leo katika viwanja vya jangwani ndani ya Tamasha la Love Tanzania tambua umepitwa na mengi....watu mashuhuru katika tasnia ya muziki wa injili ndani na nje ya Tanzania wamekuwa wakifanya vitu vya ajabu..Kama umekosa napenda kuchukua fursa hii kukuambia pole lakini bado hujachelewa siku ya kesho ambaapo Tamasha hili litaendelea usikose kuhudhuria....Njo ujione watu wanavyompenda Mungu..


 Doen Moen akiwa anafanya Mazoezi siku ya Leo Asubuhi kabla ya kazi jioni ya leo
 Hapa akiendelea na kujaribu vyombo na namna atakavyoperfom jioni hii

 Tunapoongea sasa hivi  hawa jamaa ndio wanamalizia shughuli za hii kazi unayoiona

 Sio miujiza ni kweli na ajabu kama umekosa  jionee kazi inavyoendelea

Hii ndio stage ya Kazi  toka asubuhi ya leo


 Huyu ni mmoja ya wadau waliohudhuria kwenye Love Festival toka asubuhi ya leo Miss Gladness Kilemile


 Hili ndilo enelo la waandishi wa habari lilotengwa

 Toka asbuhi watu mejaa wakiwa tayari kukutana na Mungu aliye hai

Hapa ndipo eneo la wahudumu walipokuwa wanapewa maelekezo


 Hawa ndio wahudumu mbali mbali wa Love Festival Tanzania


 Hili ndilo eneo maalumu lilotengwa kwa ajili ya mchezo wa Baiskeli na Pikipiki


 Wote hawa wakiwa tayari kwa kuangalia michezo ya Baiskeli na Pikipiki




 Hawa wote wakicheki jinsi mchezo wa pikipiki unavyoendelea
 Watoto nao hawakuachwa nyuma hapa ndipo walikuwa wakifanya michezo mbali mbali




















 Hiyo yote unaiona hapo juu ni mchezo mbali mbali ya watoto ambayo imekuwepo siku ya leo hapa viwanja vya jangwani






 Hawa ndio wahudumu wetu wakiwa wamevalia uniform maalum

 Hawa nao walikuwa ndani ya nyumba tayari kushuhudia tukio linaloendelea hapa jangwani








 Mpaka na vyoongea sasa hapa jangwani kumejaa mpaka kumetapika




 Huyu ndie mtaalamu wa michezo ya watoto hapa Ulimwenguni


 Uncle Jimmy akiwa na Upendo Kilahiro tayari kwa kazi hapa viwanja vya jangwani

 Papa The Blogger ndani ya nyumba na Swahiba wake Prosper Alfred Mwakitalima








 Mtaalamu wa Michezo mbali mbali ya watoto akiwa on the Stage huku mtoto mmoja wapo akijiondokea na Jezi ya Man unted full set plus mpira wa Adidas from Old Trafford




 Hawa ndio wanaume wawili walioshusha burudani ya Pikipiki muda sio mrefu 
 Twende kazi hapa uone Baiskeli inavyorudi kinyume nyume ....yaani rivasi


 Huyu ni moja ya Wanaume wachache waliocheze Baiskel kwa nama ambayo sijawahi ona.....ana umri zaidi ya miaka 32 na mbili lakini hatari tupuuu


Stay tuned ....Blog hii itaendelea kukuleta habari mpaka mwisho wa tukio hili.




Baada ya Friends on Friday kutimiza mwaka mmoja na kuikaribisha Sizoni ya pili yenye mambo mengi yatakayokuwa ya kushangaza wengi,siku ya jana katika ukumbi wa Makumbusho ya Kijiji cha Taifa ilikuwa siku ya Friends on Friday Nyama Choma.







Chezea Kuku wa FoF....!!


Samaki walikuwa wa kutosha  unabishaaaa...!!!!


Muziki sio swala la Kuuliza kwenye FoF...!!!



Nathan YaMungu ndani ya Nyumba.....!!



Makumbusho....naam palifana kabisa!!!


Hapa wanakamati wanajiuliza hiyo mikuku na misamaki badoooo tuuuuu!!

Eeeh bwana hao kuku badooo....Chris akimuuliza Cheaf Cooker



Hata watoto wanakuja FoF sasa sijui wewe unangoja nini?



Hawa ndio MC's wa jana......!!!




Angalia watu wanavyojiachia ndani Ya FoF



Kukuz.......!!

Samakiz!!

Samaki wa Kuchomaaa....hawakua nyumaa!!!

Clara Kway na  Claire Kolle

Chris Mauki akishusha sindanooooooo.....!!!




Nyama taratibuuuu ...Mtu na Pacha wake



Papa wa Blogger na Bombi Johnson




Mc Pili pili.....Mzee wa Wow...ooh My Gosh!!



Chezea nyama wewe Renee Lyatuu



Moshi Jacque


Faith Pelle



Akina Sasali ndani ya FoF


Emmanuel Henry hakukosaaaaa....!!!


Mc Luvanda na Faith Pelle wakifurahia Nyama Chomaaaaaaa!!!

 

Mc Pilipili alitoa mikao mitano ya mtu akiwa amepata Break Up!!

All the way From Arusha.....Clara Kway Kwa ajili ya FoF nyama Choma kwa pembeni akiwa na Victoria Jonathan!!


Msosi haukuwa nyumaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!



Usikose Event ijayo ya FoF mwezi ujao .......


5 August,2012

CITY CENTRE CHURCH T.A.G (UPANGA)

7:00 A.m. / 10:00Am.

Andrew Palau will Preach at both Sunday Service


7 August ,2012

PRESS CONFERENCE

10:00a.m.

Location TBD. All Media Houses will be invited.

Bishops, Local Artists, Andrew Palau and BMX team will address the media.


6 - 10 August ,2012

READING EYE GLASS CLINICS

10:00a.m-4:00p.m.

St. Nicholas’ Anglican Church (Ilala)

Tanzania Assemblies of God (TAG) (Mbagala)

The Lutheran Church (Vingunguti)

Baptist Mission Church (Magomeni)

*10,000 Pairs of Reading Glasses will be available at these 4 locations for free. US and Tanzanian Eye Doctors are partnering together under Love Tanzania to bring a tremendous gift in these 4 communities. Come Early to see the Doctor and receive a free pair of reading glasses



6 - 10 August ,2012

SOCCER + BASKETBALL CLINICS

9:00-11:30a.m / 1:30-4:30p.m.

Play for Hope

15 Professional Soccer / Basketball coaches from Rwanda will host clinics for thousands of kids in Ilala, Temeke and Kinondoni.


SCHOOL PRESENTATIONS

Duggie Dug Dug and a team of Volunteers will do presentations in 8 primary Schools.

Vic Murphy, John Andrus (BMX ACTION SPORTS Team) will do Demos in 5 Primary Schools and then will team up with the Play for Hope Afternoon Main site. The Action Sports team will be joined by international evangelist Mike Parker and a team of volunteers.


7 August ,2012

WOMEN’S DINNER

5:00 p.m. Karimjee Hall

Matron of Honor, Evelyne Warioba, and the LTF Women’s Committee are inviting 600 Women to an elegant dinner to hear Wendy and Andrew Palau share their story.


8 August ,2012

BUSINESS AND CIVIC LEADERS DINNER

6:00 p.m. Karimjee Hall

600 Government, Corporate CEOs, Dar es Salaam leaders will be invited to another special Dinner moment with Andrew Palau.

*NOTE: Events at Karimjee are not open to public to attend. These two dinners are invitation only events. If you as Media desire to attend to cover the story please contact Lillian to indicate an interest to attend.


10 August ,2012

FMX (MOTOR CROSS) PRACTICE

2:00-3:00 p.m. Jangwani Ground

JUNGLE RUSH FMX from Joberg will be onsite getting ready for Love Tanzania Festival. Cameras are encouraged and live shots are available for Evening News Stories.


DEDICATION PROGRAM

3:00-6:00 p.m. Jangwani Grounds

All Volunteer Workers will be asked to attend this dedication time. Potentially 2,000-3,000 workers will attend.

Saturday – Sunday 11-12 August,2012

LOVE TANZANIA FESTIVAL WITH ANDREW PALAU


1:00 – 3:00p.m

CHILDRENS PROGRAM

Games, Jumper Castles, Soccer Clinics and DUGGIE DUG DUG


3:00-4:00p.m.

ACTION SPORTS DEMOS

FMX/ BMX presentation


4:00-8:00p.m.

MAIN STAGE

THE VOICE

CHRISTINA SHUSHO

JOHN LISU/ SAFARI PAUL

National Worship Leaders

MASANJA – Faith Story


International GOSPEL MUSIC artists

DON MOEN

NICOLE C. MULLEN

DAVE LUBBEN


Each day the Festival will feature a special presentation of LOVE and a message of Hope from international Evangelist Andrew Palau.





Miwani 10,000 za kusomea kugawiwa Bure

Wafanyabiashara wakubwa na viongozi wa serikari kuinjilishwa kupitia Evening Dinner

Kikundi maalumu cha Michezo ya Baiskeli kuonyesha ufundi wa kuchezea baiskeli

Tofauti na Donnie Moen, Nicole C Mullen ,Christina Shusho,John Lissu,Pastor Safari Paul wa DPC kuongoza Love Tanzania Festival Praise Team

Love Tanzania Festival ni kusanyiko kubwa la kihistoria litakalofanyika kuanzia tarehe 11-12/08/2012 katika viwanja vya Jangwani kuanzia saa saba mchana mpaka saa 2 Usiku.Kwa mujibu wa mmoja wa waandaaji wa kusanyiko hilo Brother Prosper Mwakitalima ameiambia Hosanna Inc kuwa katika kufanikisha kusanyiko hilo makanisa zaidi ya 800 yameshiriki katika maandalizi ya tukio hilo maalumu lenye lengo la kuwakutanisha watu wa dini,kabila,rika zote kwa lengo la kumtukuza Kristo Yesu.

Kwa mujibu wa Mwakitalima kabla ya shughuli ya tarehe 11 na 12 kuna shughuli mbalimbali ambazo Love Tanzania Festival itakuwa ikizifanya kwa jamii ya Tanzania.

Ifuatayo ni Ratiba ya shughuli nzima za LOVE TANZANIA FESTIVAL.

Tarehe 5 August 7:00 Asubuhi – 10.00 Asubuhi
Mbeba maono wa Love Tanzania Featival mtumishi Andrew Palau atahubiri ibada zote mbili katika kanisa la Upanga City Christian Centre (UCC)

Muimbaji mashuhuri Nicole C Mullen atahudumu

Tarehe 7 August 10 Asubuhi

Kutafanyika Mkutano wa waandishi wa habari(Press Conference) katika Ukumbi wa TBD ambapo Andrew Palau akiambatana na wachungaji, Maaskofu,waimbaji na kikundi cha waonyesha michezo ya Baiskeli watakuwa wakiongea na waandishi wa habari.
Usiku huo wa Tarehe 7 kuanzia saa 11.30 jioni katika ukumbi wa KARIMJEE kutafanyika WOMENS DINNER ambapo kamati imewakaribisha zaidi ya wamama 600 nao watapata nafasi kusikiliza na ya kubadilishana mawazo na Andrew Palau.

Tarehe 8 August 12:00 jioni

Katika Ukumbi wa Karimjee Hall kutafanyika hafla ya chakula cha jioni ambapo viongozi mbalimbali wa serikali na wafanyabiashara wakubwa watapata nafasi ya kukutana na Palau ambapo mtumishi huyo atatumia nafasi hiyo kumtangaza kristo kwa tabaka hilo la watanzania ambao kwa namna moja au nyingine limekuwa ni vigumu kufikiwa na injili ya Yesu kristo.

Tarehe 10:August 8:00 Mchana – 9:00 Jioni

Kutafanyika maozoezi(Rehesal)ya michezo ya Baiskeli ambapo kikundi cha JUNGLE RUSH FMX kutoka Afrika ya Kusini kitakuwa kikifanya mazoezi hayo ili kujiweka sawa.Baada ya mazoezi hayo kutafanyika MAOMBI rasmi kwa ajili ya kuuweka wakfu uwanja wa Jangwani kwa ajili ya shughuli nzima ya tarehe 11-12.



VITUO MAALUMU KWA AJILI YA CLINIC YA MACHO

Love Tanzania Festival siyo tu itahusisha kuponya ROHO za watu kupitia neno la Mungu, pia watakuwepo Madaktari maalumu wa macho kutoka Marekani na watashirikiana na madaktari wa ki-Tanzania ambapo watakuwa wakipima watu mbalimbali wenye matatizo ya macho BURE, wale wenye matatizo ya kutoona vizuri maandishi watapewa MIWANI za kusomea BURE.Jumla ya miwani zipatazo elfu kumi(10,000) zipo kwa ajili ya kugawiwa kwa watanzania ambao watabainika na matatizo hayo, Ratiba ya Clinic hiyo itakayokuwa na vituo vinne ni kama ifuatavyo.

Kituo 1:St Nicholaus Anglican Church –ILALA

Kituo cha 2:Tanzania Assemblies of GOD (TAG-Mbagala)

Kituo cha 3:Lutheran Chuch – Vingunguti

Kituo cha 4: Baptist Mission Church – Magomeni

Kliniki zote hizi zitakuwa zinaanza saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni

Donnie Moen kuhudumu


Thanks to Hossana Inc and Christian Bloggers in Tanzania